Ile skendo ya kupiga picha za nusu utupu na kuzisambaza kwenye mitandao
ya kijamii huku midume ikijirushia na kujifaidia kwa macho, ukijumlisha
aibu mpya ya kukata mauno mbele ya wanaume, staa mwenye jina kubwa
Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewakera wanakwaya wenzake ambao wamedai
kuwa
anawatia aibu, Ijumaa lina mchapo kamili.
No comments:
Post a Comment