Nikifa nataka mazishi yangu yawe ya mwaliko maalim-Lady Jaydee


Lady Jaydee haogopi kufa na infact anataka mazishi yake yawe ya mwaliko kama vile harusi zilivyo.

katika muendelezo wa post zake Lady Jaydee ameweka picha za mageneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe.

Hata hivyo anamasharti-mazishi yake yatakuwa
ya mualiko maalum na na hatopenda mwili wake ufunuliwa
"I've changed my mind sitaki tena lile la purple moja kati ya hayo hapo juu       #msimind     #kilamtuatakufa
#Msiogope pia nilikuwa nafikiria iwe invitees only        #sitakikufunukiwa   ameandika Jide.

No comments:

Post a Comment