Afya ya mama yake mzazi msanii nyota wa bongofleva Nasibu Abdul 'Diamond platnumz, Sanura Kassim 'Sandra' sio shwari juzi kati hali yake ilibadilika ghafla na ikalazimika familia kumkimbiza katika hospital ya TMJ iliyopo mikocheni jijini Dar ambapo amepewa kitanda
Chanzao makini kimedai kuwa
mama diamond ambaye amekuwa akisumbuliwa na maradhi yenye kuashiria kupooza, juzikati alizidiwa na kuilazimu familia kumpeleka hospitali.
Mama yake diamond ana wiki sasa hospitali, lakini Diamond mwenyewe hataki watu wajue anakwenda kwa kujificha, wakati mwingine hadi saa saba usiku sijui anaficha nini wakati suala lipo wazi tu nadhani tukesha kumuombea ili hali yake iwez3e kurudi kama zamani" kilisema chanzo makini
Diamond alipotafutwa kusema hali ya mama yake aligoma kusema chochote zaidi aliomba aachwe kwani wanauwezo wa kuzungumzia mambo mengine bila kugusia kuhusu mzazi wake.
"Naomba unipe muda maana nina matatizo sana, hata kuzungumzia ishu hiyo hakuna haja" Alisema Diamond
No comments:
Post a Comment