Binti aliyejulikana kwa jina la Beina mkazi wa jijini dar , hivi karibuni alipata aibu baada ya kufumaniwa gesti akiwa na mume wa dada yake Chanzo makini kilichokuwa eneo la tukio kinaeleza kuwa
, Biena na mume wa dada yake aitwaye Abbas walikuwa na uhusiano wa muda mrefu kabla ya kunaswa juzi kati wakiwa gesti laivu
"Biena anaishi na dada yake aitwae mama saida, amekuwa akizunguka kwa kutembea na shemeji yake hadi sisi majirani tukakereka.
"sasa siku ya tukio mama saida ambaye ni mjamzito alikuwa kalala, tukamuona beina na abasi wakielekea gesti. uzalendo ukatushinda tukaona tumsaidie dada wa watu kuwafumania .
"Tukaenda hadi kwenye ile gesti tukawafumania wakiwa ndani, Abbas akaingia mitini hajulikani aliko hadi wa leo,beina akatoka na kukimbilia nyumbani kwa dada yake. alisema mtoa habari huyo
Mama mwenye nyumba aliyejitambulisha kwa jina la Farida alisema ni kweli binti huyo alikuwa akitembea na shemeji yake na majirani walichoshwa na tukio hilo ndipo walipoamua kumtolea uvivu
Biena alipobanwa alikiri kufumaniwa lakini akadai kuponzwa na chpis kuku, akaomba msamaha kabla ya kurejesha kwao Tunduma. Mama saida alipofuatwa na waandishi ili aongelee tukio hili alishindwa kutokana na hali yake.
No comments:
Post a Comment