Baraza la kilimo Tanzania (ACT) limekitaka chama cha siasa cha ACT-Tanzania kutotumia jina hilo kutokana kutokana na baraza hilo limekwisha
sajili jina la ACT kama kifupi cha jina la baraza hilo,
Mwenyekiti wa baraza hilo Dkt Sinare Yusuf amesema jina ACT linatambulika kama kifupi cha Agricultural Council of tanzania na kwa taratibu za hati mili, jina hlio (ACT) halitakiwai kutumiwa na watu wengine hata kama litaambatanishwa na maneno mengine
"hata wakiongeza maneno mengine bado kuna (ACT) hiyo ni nembo yetu tumekwisha andika barua kwenda kwa msajili wa vyama vya siasa, pia tumeshaandika barua kwenda kwa chama hicho ila bado hatujapata majibu,nimeshaongea na zitto kuhusu hilo na kumwelezea kuwa wanatakiwa kurekebisha kabla hatujaenda hatua za juu zaidi (mahakamani) ambazo ni ghali" Amesema Dkt Sinare
No comments:
Post a Comment