WEMA AONYESHA PETE YAKE YA UCHUMBA

Leo katika pitapia kwenye kurasa za mitandao ya mastaa nimekutana na picha hii ya madame katika moja ya wapambe wake na kuandika maneno haya nini hicho kwani kidoleni
picha hii ya madame imeibua maoni kibao huku wengine
wakisifia na  wakitoa vijembe kwa wale wanaochonga kuhusu mamade, huku wengine wakisema kuwa madame anajipooza na kijifariji kutokana na mapigo ya Diamond na Zari yanampeleka puta 
ni mnyanyuko tu wa team hizo mbili huko insta 

hebu wjuzi tujuzeni kuhusu hiyo pete kama ni kweli maana hata nani kamfisha mi sijui

BY UDAKU MPYA

No comments:

Post a Comment