Angelina Jolie |
kuathirika na saratani ya yumba ya uzazi
Angelina jolie, mumewe Brand pitt wakiwa na watotowao |
upasuaji huo ulitokana na ripoti ya daktari uliobaini kuwa nulikuwa na asilimia 50% ya chembechembe zenye hatari ya kuambukizwa saratani" alisema Angelina jolie
habari hizi zimewashtua mashabiki wa mrembo huyo ambaye miaka miwili iliyopita alilazimika kukatwa titi kwa sababu ya tishio hilo hilo la saratani
No comments:
Post a Comment