Hawa ndio mastaa hodari kwa kuficha mimba walio jifungua kimya kimya Bila mtu kujua

snura mushi
utakumbuka jinsi alivyojificha baada ya kunasa mimba ya mtoto aliyenaye sasa hata pale alipojifungua alikataa kama amezaa
Halima yahaya 'Davina'
huyu ni mke wa mtu  ila alipobeba mimba ya pili alificha mimba yake na hakuonekana hadi alipojifungua
Husna sajent
yapo madai kuwa kwasasa mrembo huyu anamimba ya msanii mwenzake mwenyewe akipigiwa simu anakataa na sasa hivi aonekani kwenye minuso kama ilivyokuwa kawaida yake
Odama
Jennifer kyaka mwanae wa kiume aliye nayealificha sana mimba yake kuna wakati alina
swa kwenye sherehe ya mdogo wake lakini alikataa hakuonekana tena hadi alipojifungua
Maimatha jesse
ni mke aitwae shaa huyu naye wengi walishangaa kuficha mimba yake wakati alikuwa ndani ya ndoa hata hivyo alisema ameamua tu.
Queen Suzy
naye alificha sana mimba yake picha yake ilikuwa adimu kupatikana  na hakuweza kusikika hadi pale ilipovuja kuwa anamtoto wa kike
welu sengo
anampenzi wake lakini hajulikani wakati anaujauzito alipotea kabisa zikavuja kuwa anamimba lakini alikataa akasakwa ili picha zipatikane lakini mapaparazi walitoka bure
safina
nistaa wa igizo la mizengwe jina lake ni jesica kindole ulishawahi kuona kitumbo cha mtoto wake wa kiume aliyenaye sasa?
salma salmini-Sandra
huyu naye ni kitambo ilivuja kuwa ni mjanzito lakini hakuna ushahidi hadi na inasemekana anajificha kweli.
Hao ni baadhi ya mastaa wa kike ambao katika siku za hivi karibuni walipata mimba lakini wakaficha

No comments:

Post a Comment