al shabab waua 20 mogadishu

masaa kumi na tano yamepita tangu alshabab wameishika hotel hiyo inaarifiwa
mwanamke mmoja mjasilia mali aliyekuwa akiishi marekani amefariki na mshauri wa raisi wa zamani abdul latif yusuf na wengine kumi na nane milio ya risasi na milipuko inaendelea kulindima katika hotel hiyo

No comments:

Post a Comment