Dada yangu Wema,Salamu sana, nyingi na za upendo mkubwa zikufikie. Pole nyingi sana, it is sad to listen to what your heart is speaking about the reality of your life. Kwanza, that is relieving kwako kwa kuusemea moyo wako na hali yako. Inakupa moyo huru na uliopumua pumzi kubwa, ni ujasiri wa pekee na kwa hilo nakupongeza. Nakupongeza pia kwa kuonyesha moyo wako, licha ya kwamba unaumia kwa mengi, moyo wako si uliovunjika na kupondeka, sio uliopoteza matumaini na mapendo ndanimwako. Hilo ni paji la Kimungu ndani mwako na umeonyesha hilo kwa kutomlaumu Mungu bali kwa kumtumainia.Personally I was touched, andmy prayers are with you. Don't give up hope and trust which are in you. Maisha na hali za ubinadamu vina mipaka yake. Tumeumbwa na tupo jinsi tulivyo, na kwa njia ya hali zetu makusudio ya Mungu ni ya kipekee kwa kila mtu, malengo yake Mungu tunaendelea kuyang'amua siku hadi siku na kwa nguvu ya ajabu.Mungu azidi kukutia nguvu katika yote, harakati za maisha ya kila siku zipate Baraka zake, na kwa njia hiyo ukitambua what He calls you to do. For surely you will be our dada and mama to many other children who need your love and care as of what God has given you just for the sake of them.Kila jema dada yangu, nakutakia moyo mkuu
IS WATEKA CHANEL YA UFARANSA TV
Islamic state ya teka channel ya ufaransa TV yadaiwa waliyohusika kuiteka ni watu wanaodai kuwa ni wafuasi wa Islamic state
Wameweka ujumbe ktk channel hiyo kuwa"je ufaransa hawakumbuki kilichowapata Paris kuuliwa kwa wachoraji na watunzi wa katuni
Ndugu wa wili kouch na Amed Allah atakabali shahada zao "rais wa ufaransa amefanya kosa kwa kutuma jeshi la ardhin na jeshi la anga kupigana na Islamic state
Hazitakuwa salama.familia za wanajeshi wa anga na wa ardhin wa ufaransa walinaotumiwa na America kushambulia Islamic state
Ikiwa ufaransa inataka kulinda familia na raia za wafaransa basi watoe majeshi yao ktk vita dhid ya Islamic state
Kwa uwezo wa Allah tutaendelea kupambana na America pia kitengo cha kuteka channel na page kitaendelea na tutawapatia zawadi nyingine
Laillah illah llah wanna Muhammad Rasullah Hii ndio massage iliyotumwa na watekaji hao
Waziri Steven Wasira Awafukuza Kazi Wakurugenzi Watendaji Watatu Kwa Kuisababishia Serekali Hasara ya Sh Billioni 2.5
WAZIRI wa kilimo, Chakula na Ushirika Steven Wasira amewafukuza kazi wakurugenzi watendaji watatu wa Mamlaka ya Kuendeleza Bonde la Mto Rufiji (Yaani Rufiji River Basin Development Authority – RUBADA) kutokana na matumizi mabaya ya ofisi ya Umma ambayo yameitia hasara ya Bilioni 2.5 Serikali .Akitoa agizo hilo leo mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri Wasira amewataja Watendaji hao kuwa ni Bwana Aloyce L. Masanja – Kaimu Mkurugenzi Mkuu; Bibi Tabu Ndatulu – Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji; na Bwana Filozi John Mayayi – Mkurugenzi wa Fedha na Utawala.Wassira amesema baada ya Ofisi yake kupata malalamiko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya Rufiji pamoja na wawekezaji juu ya Urasimu wa shirika hilo, aliunda timu ya Uchunguzi kutoka wizara ya Kilimo na Hazina kwenda kuchunguza malalamiko hayo.“Baada ya kuunda tume kutoka hapa Wizarani ikishirkiana na Hazina, walienda kwenye shirika hilo kufanya ukaguzi.Tume ilibaini kwamba mfumo wa pale ulikuwa ni mbovu, wakurugenzi hawa walijifanya wahasibu, wakawa wanakuanya pesa wenyewe na kutembea nazo.Walifanya maksudi tu ili kujiwekea mianya ya kuiba Fedha” Amesema WassiraTaarifa ya Mheshimiwa Wasira imeanishakuwa kati ya shilingi 2.748 billion zilizokuwa zimekusanywa kwa ajili uwekezaji, ni shlingi 714.606 milioni tu ndizo zimetumika kihalali wakati kiasi kilichobaki kimetumika bila kuzingatia sheria na kanununi za fedha za umma.Waziri Wassira amesema kuwa mbali ya kuiba pesa hizo, kamati ilibaini kwamba watendaji hao wametumia zaidi ya Milioni314 kwenye matumizi yaliyo kinyume cha utaratibuikiwemo pesa zilizotengwa kwa ajili maendelea ya miradi ya Shirika hilo ambazo zimetumika ndivyo sivyo.Vilevile Waziri Wassira amesema hata pesa ambazo wamewakata wafanyakazi kwa ajili ya kupelekwa kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii zimekuwa zikiliwa na watendaji , tena kwa makusudi pasipo kupelekwa huko.Aidha,Waziri Wasira amesema baada ya kupata Ripoti ya Tume hiyo ameiagiza Bodi ya shirika la Ludaba kuwafukuza kazi mara moja watendaji hao watatu na nafasi zako kujazwa mara moja huku taratibu na sheria za kuwafikisha mahakamani zikifanyika.
Kauli ya Shibuda kuhusu kuhamia chama Kipya Cha ACT-Tanzania
Mbunge wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda amekataa kuhusishwa na Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), akisema hana mpango wa kujiunga nacho.Shibuda ambaye ameshatangaza kutogombea ubunge kupitia CHAsdemA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, amesema “Pamoja na kusema sitagombea kupitia CHADEMA lakini nisilishwe maneno…siendi kwenye chama hicho cha ACT.”Kauli ya Shibuda imeondoa uvumi ulioenea kwamba angejiunga na ACT baada ya kuwa kwenye mgogoro kwa muda mrefu na CHADEMA.Akichangia hoja ya muswada wa sheria ya makosa ya mtandao bungeni wiki iliyopita, Shibuda alitumia dakika mbili kuweka sawa uvumi huo akisema, “sitaki kusemewa…nitasema mwenyewe kuhusu mstakabali wangu kisiasa. Huu ni uzandiki.”Hii si mara ya kwanza kwa Shibuda kuhusishwa na mpango wa kuhamia katika vyama vingine vya upinzani. Mwishoni mwa mwaka jana pia kulikuwa na uvumi kwamba yuko kwenye mazungumzo ya kukinunua Chama cha TADEA kinachoongozwa na Lifa Chipaka.Hata hivyo, Shibuda alikanusha uvumi huo akisema analishwa maneno.