Habari,mara nyingi nimekuwa nikipokea maombi ya watu kutaka kuigiza, jamani kuna
 team ya ma director ndio wanafanya kazi hii sio mimi, na hawawezi kukuchagua kwa kusema tu, mpaka wakuone ukiigiza mahali nawavutiwe.Please  anza hata kwenye tamthilia.naamini wapo waigizaji wengiwenye vipaji lakini ni lazima uanzie sehemu kabla ya kufika kwetu.asante. JB ameandika haya kwenye ukurasa mtandaoni.
No comments:
Post a Comment