watu wanaosadikiwa kuwa nimajambazi wamewavamia polisi katika kizuizi cha kongowe na kupora SMG mbili  na kufanikiwa kuwauwa askari polisi wawili chanzo makini kinasema kuwa
 baada ya tukio hili walivamia sheli ya lake oil na kutokomea katika msitu wa vikindu mkuranga na mpaka sasa tumepoteza askari polisi wawili
 
 
No comments:
Post a Comment